Undugu upendo na kazi

Abasia

Abasia ya Roho Mtakatifu Mvimwa, iko ndani ya Jimbo Katoliki la Sumbawanga Tanzania. Inajishughulisha na Kilimo na iko Kilometa 100 toka Ziwa Tanganyika. Chini ya Abasia, ziko nyumba ndogo ile ya Mt. Bernardi Kipili na Mt. Benedikto Sumbawanga. Ina nyumba ya Malezi ya Kitawa, Kituo cha Afya na maabara, Shule ya Msingi, Shule ya Sekondari, Chuo cha Ualimu na Shule ya Ufundi.

Historia yetu

Abasia ya Roho Mtakatifu Mvimwa, ni Jumuiya iliyoanzishwa mwaka 1979 na iliyojengwa kwa Msukumo wa Imani, Sala na Kazi. Kwa kifupi “Sala na Kazi”, lakini pia “Kumtumikia Bwana kwa Furaha”. Mvimwa ni sehemu ya Shirika la Mt. Ottilia kama Nyumba Mama ya Shirika letu.

Idadi yetu

Wamonaki wabenediktini

Walimu na wanafunzi

Jumla ya Vijiji

Idadi ya Wakazi

Tuko Wapi

Ninathibitisha kukubali Masharti